Alikiba – Mshumaa

Alikiba – Mshumaa

Download Alikiba – Mshumaa Ringtone

Alikiba – Mshumaa Ringtone

Alikiba – Mshumaa Video


Alikiba – Mshumaa Lyrics

Ule ugonjwa uliacha nao
Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina

Hospitali oooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Labda nikukumbushe
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache
Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…iye iye

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh 

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.