Raha Marioo

Raha Marioo

Download Raha Marioo Ringtone

Raha Marioo

Raha Marioo Ringtone

Raha Marioo Video


Raha Marioo Lyrics

Aah mmmh mmmh Ah unaringa umepima? Aii utajiju Huu mwaka utachina Si ulileta unyang’au Ukaukwi kunitishia Unaondoka unaondoka Kama daladala za Kariakoo Inatoka inatoka Hadharani unanisusia kuropoka ropoka Ama domo lako shimo la choo Yanakutoka Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka Maana nishapata pa kuegemea Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea Oooh kutendwa Nakusikia kwenye bomba Na tena naenjoy Mpa ka raha mpaka natakatishwa Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy Napenda akinipa  Akinipa migandisho Kama anapigwa shoti Akisakata migandisho Na kama mapenzi Roho yake bahari  Huu muda naelea Maana nishazamaga Nishakufa mzoga Na kama penzi melody kali Mi kwake ndo burudani  Wala sidhani ka Ataridhika kunikosa Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka Maana nishapata pa kuegemea Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea

Oooh kutendwa Nakusikia kwenye bomba Na tena naenjoy Mpa ka raha mpaka natakatishwa Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.